Simba SC Tanzania
Simba SC Tanzania
  • 2 661
  • 80 879 822
NAHODHA SIMBA QUEENS BAADA YA KUTWAA UBINGWA LIGI KUU YA WANAWAKE
SUBSCRIBE NOW:
🌐 Site: simbasc.co.tz/
📱 App: Iphone User: apps.apple.com/us/app/simba-sc/id1564389213
📱 App: Android User: play.google.com/store/apps/details?id=com.simbasc&pli=1
🔵 Facebook: simbatanzania/
📸 Instagram: simbasctanzania
𝕏 Twitter: SimbaSCTanzania
🎶 Tiktok: www.tiktok.com/@simbascofficial
About the Official Simba SC UA-cam Channel:
Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference
🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi
Переглядів: 920

Відео

HII NDIO SIRI YA UBORA GOLIKIPA WETU WA SIMBA QUEENS/CLEAN SHEETS ZAKUTOSHA/"NAMSHUKURU MUNGU"
Переглядів 9792 години тому
SUBSCRIBE NOW: 🌐 Site: simbasc.co.tz/ 📱 App: Iphone User: apps.apple.com/us/app/simba-sc/id1564389213 📱 App: Android User: play.google.com/store/apps/details?id=com.simbasc&pli=1 🔵 Facebook: simbatanzania/ 📸 Instagram: simbasctanzania 𝕏 Twitter: SimbaSCTanzania 🎶 Tiktok: www.tiktok.com/@simbascofficial About the Official Simba SC UA-cam Channel: Simba Spor...
MAGOLI YOTE | SIMBA QUEENS {3} VS GEITA QUEENS {0} | LIGI KUU YA WANAWAKE
Переглядів 1,9 тис.2 години тому
SUBSCRIBE NOW: 🌐 Site: simbasc.co.tz/ 📱 App: Iphone User: apps.apple.com/us/app/simba-sc/id1564389213 📱 App: Android User: play.google.com/store/apps/details?id=com.simbasc&pli=1 🔵 Facebook: simbatanzania/ 📸 Instagram: simbasctanzania 𝕏 Twitter: SimbaSCTanzania 🎶 Tiktok: www.tiktok.com/@simbascofficial About the Official Simba SC UA-cam Channel: Simba Spor...
AISHA MNUNKA MFUNGAJI BORA LIGI YA WANAWAKE MAGOLI 20/SIKIA HAPA FURAHA YAKE BAADA YA MECHI
Переглядів 2,9 тис.2 години тому
SUBSCRIBE NOW: 🌐 Site: simbasc.co.tz/ 📱 App: Iphone User: apps.apple.com/us/app/simba-sc/id1564389213 📱 App: Android User: play.google.com/store/apps/details?id=com.simbasc&pli=1 🔵 Facebook: simbatanzania/ 📸 Instagram: simbasctanzania 𝕏 Twitter: SimbaSCTanzania 🎶 Tiktok: www.tiktok.com/@simbascofficial About the Official Simba SC UA-cam Channel: Simba Spor...
JENTRIX SHIKANGWA: "NINGEANZA MSIMU NA SIMBA QUEENS NINGEFUNGA MAGOLI MENGI/CECAFA TUTAFANYA VIZURI"
Переглядів 1,5 тис.2 години тому
SUBSCRIBE NOW: 🌐 Site: simbasc.co.tz/ 📱 App: Iphone User: apps.apple.com/us/app/simba-sc/id1564389213 📱 App: Android User: play.google.com/store/apps/details?id=com.simbasc&pli=1 🔵 Facebook: simbatanzania/ 📸 Instagram: simbasctanzania 𝕏 Twitter: SimbaSCTanzania 🎶 Tiktok: www.tiktok.com/@simbascofficial About the Official Simba SC UA-cam Channel: Simba Spor...
AHMED ALLY BAADA YA SIMBA QUEENS KUKABIDHIWA KOMBE/"TUNA BALAA VIBAYA MNO/UBINGWA BILA KUFUNGWA"
Переглядів 5 тис.2 години тому
SUBSCRIBE NOW: 🌐 Site: simbasc.co.tz/ 📱 App: Iphone User: apps.apple.com/us/app/simba-sc/id1564389213 📱 App: Android User: play.google.com/store/apps/details?id=com.simbasc&pli=1 🔵 Facebook: simbatanzania/ 📸 Instagram: simbasctanzania 𝕏 Twitter: SimbaSCTanzania 🎶 Tiktok: www.tiktok.com/@simbascofficial About the Official Simba SC UA-cam Channel: Simba Spor...
PRE-SEASON TUTAFANYIA WAPI?/TAREHE YA SIMBA DAY NI LINI?/SEMAJI AHMED ALLY AWEKA WAZI KILA KITU
Переглядів 36 тис.2 години тому
SUBSCRIBE NOW: 🌐 Site: simbasc.co.tz/ 📱 App: Iphone User: apps.apple.com/us/app/simba-sc/id1564389213 📱 App: Android User: play.google.com/store/apps/details?id=com.simbasc&pli=1 🔵 Facebook: simbatanzania/ 📸 Instagram: simbasctanzania 𝕏 Twitter: SimbaSCTanzania 🎶 Tiktok: www.tiktok.com/@simbascofficial About the Official Simba SC UA-cam Channel: Simba Spor...
USAJILI MPYA/WANAOPEWA 'THANK YOU'/WALIOONGEZA MIKATABA TAARIFA IPOJE?/MSIKIE SEMAJI AHMED ALLY
Переглядів 61 тис.2 години тому
SUBSCRIBE NOW: 🌐 Site: simbasc.co.tz/ 📱 App: Iphone User: apps.apple.com/us/app/simba-sc/id1564389213 📱 App: Android User: play.google.com/store/apps/details?id=com.simbasc&pli=1 🔵 Facebook: simbatanzania/ 📸 Instagram: simbasctanzania 𝕏 Twitter: SimbaSCTanzania 🎶 Tiktok: www.tiktok.com/@simbascofficial About the Official Simba SC UA-cam Channel: Simba Spor...
WACHEZAJI SIMBA QUEENS WAWAITA MASHABIKI AZAM COMPLEX KUSHEHEREKEA UBINGWA WA LIGI YA WANAWAKE
Переглядів 3,6 тис.4 години тому
SUBSCRIBE NOW: 🌐 Site: simbasc.co.tz/ 📱 App: Iphone User: apps.apple.com/us/app/simba-sc/id1564389213 📱 App: Android User: play.google.com/store/apps/details?id=com.simbasc&pli=1 🔵 Facebook: simbatanzania/ 📸 Instagram: simbasctanzania 𝕏 Twitter: SimbaSCTanzania 🎶 Tiktok: www.tiktok.com/@simbascofficial About the Official Simba SC UA-cam Channel: Simba Spor...
SEMAJI AHMED ALLY AIBUKIA SIMBA QUEENS/"TWENDENI TUKAWAPONGEZE WAMEFANYA KAZI KUBWA"
Переглядів 15 тис.4 години тому
SUBSCRIBE NOW: 🌐 Site: simbasc.co.tz/ 📱 App: Iphone User: apps.apple.com/us/app/simba-sc/id1564389213 📱 App: Android User: play.google.com/store/apps/details?id=com.simbasc&pli=1 🔵 Facebook: simbatanzania/ 📸 Instagram: simbasctanzania 𝕏 Twitter: SimbaSCTanzania 🎶 Tiktok: www.tiktok.com/@simbascofficial About the Official Simba SC UA-cam Channel: Simba Spor...
MAZOEZI YA MWISHO YA SIMBA QUEENS KUELEKEA MCHEZO WA MWISHO WA LIGI
Переглядів 1,4 тис.4 години тому
SUBSCRIBE NOW: 🌐 Site: simbasc.co.tz/ 📱 App: Iphone User: apps.apple.com/us/app/simba-sc/id1564389213 📱 App: Android User: play.google.com/store/apps/details?id=com.simbasc&pli=1 🔵 Facebook: simbatanzania/ 📸 Instagram: simbasctanzania 𝕏 Twitter: SimbaSCTanzania 🎶 Tiktok: www.tiktok.com/@simbascofficial About the Official Simba SC UA-cam Channel: Simba Spor...
RAIS WA HESHIMA MOHAMMED DEWJI 'MO' AKIZUNGUMZA MIPANGO MIPYA NDANI YA SIMBA/"SIWEZI KUIACHA SIMBA"
Переглядів 73 тис.9 годин тому
RAIS WA HESHIMA MOHAMMED DEWJI 'MO' AKIZUNGUMZA MIPANGO MIPYA NDANI YA SIMBA/"SIWEZI KUIACHA SIMBA"
#EXCLUSIVE A-Z SALIM ABDALLAH 'TRY AGAIN' AKIELEZA SABABU ZA KUJIUZULU NAFASI YAKE YA M/KITI WA BODI
Переглядів 31 тис.9 годин тому
#EXCLUSIVE A-Z SALIM ABDALLAH 'TRY AGAIN' AKIELEZA SABABU ZA KUJIUZULU NAFASI YAKE YA M/KITI WA BODI
TAZAMA MOJA YA HAT-TRICK AMBAZO AMEWAHI KUFUNGA JOHN BOCCO NDANI YA SIMBA SC
Переглядів 2,3 тис.9 годин тому
TAZAMA MOJA YA HAT-TRICK AMBAZO AMEWAHI KUFUNGA JOHN BOCCO NDANI YA SIMBA SC
KIKOSI CHA SIMBA QUEENS KILIVYOWASILI AZAM COMPLEX TAYARI KWA MCHEZO DHIDI YA FOUNTAIN GATE
Переглядів 3 тис.12 годин тому
KIKOSI CHA SIMBA QUEENS KILIVYOWASILI AZAM COMPLEX TAYARI KWA MCHEZO DHIDI YA FOUNTAIN GATE
TAZAMA MAGOLI YOTE YA SADIO KANOUTE 'PUTIN' KWENYE LIGI MSIMU WA 2023/24
Переглядів 2,2 тис.16 годин тому
TAZAMA MAGOLI YOTE YA SADIO KANOUTE 'PUTIN' KWENYE LIGI MSIMU WA 2023/24
SHANGWE LA WACHEZAJI NA MASHABIKI BAADA YA UBINGWA WA SIMBA QUEENS
Переглядів 11 тис.19 годин тому
SHANGWE LA WACHEZAJI NA MASHABIKI BAADA YA UBINGWA WA SIMBA QUEENS
AISHA MNUNKA: "ILIKUA NDOTO YANGU KUBEBA UBINGWA NIKIWA NA SIMBA QUEENS NASHUKURU MUNGU IMETIMIA"
Переглядів 12 тис.19 годин тому
AISHA MNUNKA: "ILIKUA NDOTO YANGU KUBEBA UBINGWA NIKIWA NA SIMBA QUEENS NASHUKURU MUNGU IMETIMIA"
KUBEBA UBINGWA NI RAHA SANA/TUMEFURAHI SANA - JENTRIX SHIKANGWA & CAROLINE RUFA
Переглядів 5 тис.19 годин тому
KUBEBA UBINGWA NI RAHA SANA/TUMEFURAHI SANA - JENTRIX SHIKANGWA & CAROLINE RUFA
JENTRIX SHIKANGWA BAADA YA KUFUNGA MAGOLI MAWILI NA KUIPA SIMBA QUEENS UBINGWA/"NIMEFURAHI"
Переглядів 15 тис.19 годин тому
JENTRIX SHIKANGWA BAADA YA KUFUNGA MAGOLI MAWILI NA KUIPA SIMBA QUEENS UBINGWA/"NIMEFURAHI"
#ARRIVAL KIKOSI CHA SIMBA QUEENS KILIVYOWASILI UWANJANI TAYARI KWA MCHEZO DHIDI YA ALLIANCE GIRLS
Переглядів 3,6 тис.19 годин тому
#ARRIVAL KIKOSI CHA SIMBA QUEENS KILIVYOWASILI UWANJANI TAYARI KWA MCHEZO DHIDI YA ALLIANCE GIRLS
KOCHA MUSA MGOSI AWAPIGIA HESABU KALI ALLIANCE GIRLS/"TUNATAKA KUCHUKUA UBINGWA BILA KUFUNGWA"
Переглядів 2,4 тис.21 годину тому
KOCHA MUSA MGOSI AWAPIGIA HESABU KALI ALLIANCE GIRLS/"TUNATAKA KUCHUKUA UBINGWA BILA KUFUNGWA"
MAZOEZI YA MWISHO YA SIMBA QUEENS KUELEKEA MCHEZO DHIDI YA ALLIANCE GIRLS
Переглядів 3,5 тис.21 годину тому
MAZOEZI YA MWISHO YA SIMBA QUEENS KUELEKEA MCHEZO DHIDI YA ALLIANCE GIRLS
SIMBA QUEENS IMEFANYA MAZOEZI YA KWANZA HAPA MWANZA KWAAJILI YA MCHEZO DHIDI YA ALLIANCE
Переглядів 3,9 тис.День тому

KIKOSI CHA SIMBA QUEENS KIMEWASILI MWANZA TAYARI KWA MCHEZO DHIDI YA ALLIANCE GIRLS

#COACHoftheMONTH KOCHA BORA WA MWEZI MAY (5) | HONGERA KOCHA JUMA MGUNDA
Переглядів 4 тис.День тому
#COACHoftheMONTH KOCHA BORA WA MWEZI MAY (5) | HONGERA KOCHA JUMA MGUNDA
HAYA SIO MAPENZI NI MAHABA KWA KOCHA MGUNDA NA SHABIKI ALIYEINGIA UWANJANI KUMKUMBATIA
Переглядів 21 тис.День тому
HAYA SIO MAPENZI NI MAHABA KWA KOCHA MGUNDA NA SHABIKI ALIYEINGIA UWANJANI KUMKUMBATIA
#ONTHISDAY UDAMBWI UDAMBWI BAADHI YA MATUKIO MCHEZO WETU DHIDI YA SINGIDA FOUNTAIN GATE FC
Переглядів 3,5 тис.День тому
#ONTHISDAY UDAMBWI UDAMBWI BAADHI YA MATUKIO MCHEZO WETU DHIDI YA SINGIDA FOUNTAIN GATE FC
HONGERA 'CAPTAIN' MOHAMED HUSSEIN KWA KUTIMIZA MIAKA 10 KWENYE LIGI KUU💪
Переглядів 8 тис.14 днів тому
HONGERA 'CAPTAIN' MOHAMED HUSSEIN KWA KUTIMIZA MIAKA 10 KWENYE LIGI KUU💪
EDWIN BALUA | WONDERKID⚽⚽
Переглядів 4,3 тис.14 днів тому
EDWIN BALUA | WONDERKID⚽⚽

КОМЕНТАРІ

  • @ELIAMINIGODSON
    @ELIAMINIGODSON 28 хвилин тому

    %%

  • @francisphilipo5749
    @francisphilipo5749 Годину тому

    Kama uko nje kuna biashara mnapeleka au mnafuata sawa lakin kama ni kambi bongo

  • @francisphilipo5749
    @francisphilipo5749 Годину тому

    Unaenda uturuki unacheza na vilabu vya dalaja la nne havikujengi chochote tuach e sifa za kijinga tubaki bongo

  • @francisphilipo5749
    @francisphilipo5749 Годину тому

    Tubaki bongo tuandae bonanza tualike tim mbili au tatu za nje tuache kutumia gharama kubwa baadae hizo gharama zinawekwa kwenye mapato na matumizi

  • @francisphilipo5749
    @francisphilipo5749 Годину тому

    Unaendaje kuweka kambi nchi za barid na ukirudi bongo ni joto kali hapo ni kutalii tu

  • @Ommybabaa47
    @Ommybabaa47 Годину тому

    Nilichukia simba yangu asilimia 💯 ila kwa Habari hizi njema MO +MAGORI +BARBRA GONZALEZ ❤ALHAMDULILLAH 🇹🇿🇦🇪

  • @FinaKawiza-sw5dw
    @FinaKawiza-sw5dw 7 годин тому

    Umeongea Kwa uchungu sana boss wetu na unauchungu sana wapotezee wote walikusema vibaya

  • @FinaKawiza-sw5dw
    @FinaKawiza-sw5dw 7 годин тому

    Malumbano yasiyo na afya gonga like weweeee

  • @Economically-Growth-Musicians
    @Economically-Growth-Musicians 8 годин тому

    Bs hiyo Simba tuje Tukiwashe hapo, Muziki Mnene na Vipaji vikubwa zaidi from EGM🎉🎉🎉🎉 Simba tz changamkieni fursa hii

  • @user-ig6dt3ie2k
    @user-ig6dt3ie2k 9 годин тому

    Fanyahivyo boss huna baya

  • @RBMBAKARI-bv6wn
    @RBMBAKARI-bv6wn 9 годин тому

    Dah nimefarijuka na maneno ya mo kweli huyu anauchungu sana na Simba .kumbe aliwapisha viongozi wengine ili wajaribu SI mpenda madaraka huyu bwana.hebu mashabiki wote tumwamini huyu mwekezaji.tumedhalilishwa sana mo tunakuamini katika kuikomboa Simba nguvumoja

  • @AlphaEmmanueljr10
    @AlphaEmmanueljr10 9 годин тому

    Round naona Kuna vitu vizuri vinakuja Simba nguvu moja

  • @user-ei7dv5vn4q
    @user-ei7dv5vn4q 9 годин тому

    Fanta zifunguliwe visoda

  • @user-ei7dv5vn4q
    @user-ei7dv5vn4q 9 годин тому

    Tahiti bora Bora urudi

  • @user-ei7dv5vn4q
    @user-ei7dv5vn4q 9 годин тому

    😢😢😢UmETisha🎉

  • @user-ei7dv5vn4q
    @user-ei7dv5vn4q 9 годин тому

    Simba nguvu moja hatujapenda yaliyotokea Ila ndo yashatokea tuungane Kwa uchungu😂😂 NA nGUVU moja ili watukome😮

  • @user-ei7dv5vn4q
    @user-ei7dv5vn4q 9 годин тому

    😂😂FANYA KAzi hapa Kazi Tu mzee😢😢

  • @remidusmwanandenje-yy5gs
    @remidusmwanandenje-yy5gs 9 годин тому

    Ila simba bwana mambo yao wanakulupuka ndoo maana wanafungwa ovyo na mkijichanganya tena ubingwa yanga anachukua tena nipo pale ntaxhangaa xana mnatoka inje yanga wanabaki jangwani na tukiludi tumeixha duu😢😢😢😢 ila simba nguvu moja🙏

  • @gracemakengo
    @gracemakengo 10 годин тому

    Ngvu moja

  • @paschalalexphoto9620
    @paschalalexphoto9620 11 годин тому

    Ahimedi good best

  • @stevensosipita
    @stevensosipita 12 годин тому

    MAKOLO KOLO KIBAO

  • @nassorabdala9823
    @nassorabdala9823 12 годин тому

    🎉❤

  • @emanuelshilla6368
    @emanuelshilla6368 13 годин тому

    Nguvuu mojaa

  • @Sweetmkeze11
    @Sweetmkeze11 14 годин тому

    Hatari sana John Bocco. Ajengewe sanamu

  • @josephjohn2114
    @josephjohn2114 14 годин тому

    Pre season nje hauna tija zaidi ya hasara tu. Mlishakwenda sana na kutunia gharama kubwa ila mwisho ni hasara tu na pesa na matokeo ya timu. Fanyeni hapa hapa

  • @sabtinaramadhani5413
    @sabtinaramadhani5413 16 годин тому

    Unaongea tu vitendo hatuvioni, kama umeamua kuwa mzamini sas ufanye kweli katika uwekezaji

  • @TumainiTano
    @TumainiTano 17 годин тому

    kwel mwamba rud msimbazi

  • @fetychina3969
    @fetychina3969 17 годин тому

    Tunaipwnda simba yetu hivyo hivyo🫶

  • @malengaWetuTv2699
    @malengaWetuTv2699 17 годин тому

    ❤❤

  • @malengaWetuTv2699
    @malengaWetuTv2699 17 годин тому

    ❤❤❤

  • @HamamyMohd
    @HamamyMohd 17 годин тому

    Simba nguvu moja❤❤❤❤❤

  • @josephnobashi3223
    @josephnobashi3223 17 годин тому

    Nadhani morogoro bigwa pana faaa sana karibuni moro town

  • @merypeter7467
    @merypeter7467 17 годин тому

    Na kingine rudisha logo ya simba nguvu moaja

  • @othinielfrednand5243
    @othinielfrednand5243 17 годин тому

    Ajabu jamaa anasemea baadhi ya content ambazo sio uhalisia wa clabu yao

  • @AyubuKhan-kc6wt
    @AyubuKhan-kc6wt 18 годин тому

    Heee mungu tunashukuru kwa kutuondolea wapigaji Hawa bado mangungu. Jobe. Fred.saidooo

  • @RotiSimwanza
    @RotiSimwanza 18 годин тому

    Jaman timu yetu yot

  • @user-wk2bg8zf3l
    @user-wk2bg8zf3l 18 годин тому

    Simba nguvu moja

  • @LusekeloMwakyalabwe-ux9xq
    @LusekeloMwakyalabwe-ux9xq 18 годин тому

    Vaileth Nicolous mtoto wa isanga mbeya uko vizuli

  • @user-yh3dv2bl7u
    @user-yh3dv2bl7u 19 годин тому

    Tunawashukuru mmeitendea haki simba ,mungu awape afya njema huko muendako mapumzikon ,tukutane msimu ujao

  • @user-yh3dv2bl7u
    @user-yh3dv2bl7u 19 годин тому

    Hongeren I sana Simba qweens mungu awape afya njema tukutane msimu ujao

  • @festokalolelo4148
    @festokalolelo4148 19 годин тому

    Viongoz gani fukuza wote

  • @user-ok3mb5ux8p
    @user-ok3mb5ux8p 20 годин тому

    😂😂😂❤❤❤

  • @user-qk2sv2dg3x
    @user-qk2sv2dg3x 20 годин тому

    Simba nguvu moja, tunakutegemea bos,

  • @user-kv6li2ij6u
    @user-kv6li2ij6u 21 годину тому

    Nguvu moja

  • @mbaruksaid5775
    @mbaruksaid5775 21 годину тому

    👊

  • @FrankMkome-df9bn
    @FrankMkome-df9bn 21 годину тому

    hongera sana simba queen

  • @LetasKomba-br1xh
    @LetasKomba-br1xh 21 годину тому

    Mh Ally Nakutabiria kuja kuwa kiongozi Mkubwa hapo Baadae

  • @saidsuleiman1753
    @saidsuleiman1753 21 годину тому

    Bora Timu baking Tanzania kuliko kwenda nje kupoteza pesa nyingi bila tija

  • @mwitamalwa2773
    @mwitamalwa2773 21 годину тому

    Tujenge team make kunawachezaji hawana kazi wamejaza nafas za wachezaji wegn inatakiwa tufanye mamuzi magum

  • @imanmasawe749
    @imanmasawe749 22 години тому

    Zanzibar nisehemu sahihi sana kwa Simba kwanza watatengeza platform nzur ya wanachama na mashabiki pia nisehem nzur sana kwa kambi